Bwotuula ku ssiga towanvuwa. (Ganda) Ukikaa juu mawe ya mafiga hautakua mrefu. (Swahili) Quand tu t’assoies sur les trois pieces du foyer tu risques de ne […]
Mbulu yashinitale. (Sukuma) Kenge ameng’ata jiwe. (Swahili) Le varan s’est collé sur un rocher. (French) The monitor lizard has stuck on a rock(English) Sukuma (Tanzania) Proverb […]
Mundu utakuiwa ndamanya woo wa kukwiw’a. (Gweno) Asiyejua kugumia bado hajakuwa na uchungu. (Swahili) Celui qui ne sait pas gémir n’a jamais été en douleur. (French) […]
Búlamu bila bidii ele’ité Kinga éshi’été makúlú. (Bembe) Maisha bila bidii ni kama baskeli bila miguu. (Swahili) La vie sans courage est comme un velo sans […]
Nzila ili munomo. (Sukuma) Njia ipo mdomoni. (Swahili) Le chemin est dans la bouche. (French) The way is in the mouth. (English) Sukuma (Tanzania) Proverb Background, […]
Kashingi muditela, muena bwalu buenda mudimanya. (Luba) Asikiaye uchungu wa sindano, ni yule anaye ibeba. (Swahili) Seul celui qui porte l’aiguille dans ses vêtements connait la […]
Riziki nkujeza. (Zigula) Riziki ni kujaribu. (Swahili) Vous gagnez votre vie quand vous essayez, faites un effort. (French) You earn a living when you try, when […]
Muugi ni mutaare (Gikuyu) Mtu mwenye busara ni yule anayesikiliza ushauri. (Swahili) Une personne sage est celle qui écoute les conseils. (French) A wise person is […]
Isunga ng’humbi lili dilu. (Sukuma) Utafutaji wa panzi ni asubuhi. (Swahili) La poursuite des sauterelles se fait le matin. (French) The pursuit of grasshoppers is done […]