Amadete kabiri keta enda. (Saamia) Vidole viwili huuwa chawa. (Kiswahili) Deux doigts peuvent tuer le pou. (French) Two fingers killed a louse. (English) |
Ente encheke achwe ekinaga egamba, “Kiki kyonansindikire!” (Runyoro) Ng’ombe dhaifu kavunja nyungu kasema “Namlaumu mtu aliye nisukuma!” (Swahili) La vache faible brisa le pot et dit, “Je condamne la person qui m’avait poussee!” (French) The weak cow broke the pot and said, “I blame the person who pushed me” (English). |
Runyoro (Uganda) Proverb
Da so a molengue ake da, makelele ake da. (Sango) Nyumba ambayo ina watoto, haikosi kelele.(Swahili) La maison ou il y a des enfants, n’a jamais manqué des bruits(French) A house with children never lacks noise. (English) |
Sango (Central African Republic, Chad,
Democratic Republic of Congo (DRC),
Republic of the Congo, Tanzania) Proverb
Mabarei kuinetab teta moitanyi. (Nandi) Pembe ya ng'ombe haiui ndama wake. (Swahili) La corne d’une vache ne tue pas son veau. (French) A cow's horn does not kill its calf. (English) |
Nandi (Kenya) Proverb
Kanzala kalanda wa kamwene. (Taabwa) Huwezi ongea kuhusu njaa kama mtu ambaye alipitia hali hiyo. (Swahili) Personne peut parler de la famine que celui qui l’a souffert. (French) No person can talk about hunger better than the one who suffered it. (English) |
Taabwa (DRC, Tanzania and Zambia) Proverb
Ebitsibu byaghu uka birya neka yaghu. (Nande) Ukivuna shida unaila na jamii yako. (Swahili) Quand on recolte la peine, on la consomme avec sa famille. (French) When you reap problems, you share with your family. (English) |
Nande (Democratic Republic of Congo – DRC, Uganda)Proverb
Goobi inam dele mogtils ma babaato. (Rendille) Jamii ambayo ina mtoto mwanaume haiwezi poteza deni zao kutoka kwa majirani. (Swahili) La famille qui a un fils ne perdra pas ses dettes auprès du voisin. (French) A family that has a son will never lose the debts owed to them. (English) |
Rendille (Kenya) Proverb
Kusema (Kutema) mbago. (Sukuma) Kuweka alama kwenye miti. (Swahili) Marquer des marques sur l'arbre. (French) To make marks on the trees. (English) |
Sukuma (Tanzania) Proverb/Story
Apali kenga sumu ya ulimi. (Makonde) Hakuna sumu kama ya ulimi. (Swahili) Il n’y a pas du poison comme la langue. (French) There is no venom such as that of the tongue. (English) |