Ensawo ya mukuluwo tekuterekera. (Ganda) Mfuko wa mkubwao haukubebei chako. (Swahili) La poche de ton ainé ne contient rien pour toi. (French) Your elder sibling’s pocket […]
Chabe chigondola, chabe ching’ombe, kukhona fula bulema gwacho. (Kalanga). Beberu mlemavu na sasa ni mkubwa angali ajilisha. (Swahili). Il est boiteux, il est maintenant un grand […]
Kuhubha nzila hu gumana nzila. (Sukuma) Kukosea njia ndiyo kujua njia. (Swahili) Perdre le chemin, c’est trouver le chemin. (French) To lose the way is to […]
Muceera na mukundu akundukaga take. (Gikuyu, Kenya) Atembeaye na mtu mwenye tabia mbaya mwishoe huziiaga hizo tabia mbaya. (Swahili) Celui qui s’associe à une personne ayant […]
Akanyonyi kakozesa byo oya birara okuzimba ekisu kyaako.(Kooki) Ndege hujenga kiota kwa kutumia manyoya ya ndege wengine. (Swahili) Quand l’oiseau construit son nid, Il utilise les […]
Imbuto zikurura zishingirwa ibiti. (Rufumbira) Mmea utambaao hauwezi stawi bila kuchimikiwa kijiti. (Swahili) Une plante vrille ne peut pas grandir seule, sans le support d’un arbre. […]
Bushi bho mbuli bugakwilaga mlubigile. (Sukuma). Kinyesi cha mbuzi hupatikana kwa wingi zizini. (Swahili) Les fientes (excréments fumiers) de chèvres, se trouvent principalement dans la chèvrerie. […]
Jikajikape jangawuma mbili. (Yao) Pekee, pekee, hauwezi tunga historia. (Swahili) On ne peut pas produire une histoire, quand on est seul. (French) Alone, alone, one cannot […]