Ng’hwi ninghi jigangaluchaga. (Sukuma). Kuni nyingi hukesha. (Swahili). De nombreux morceaux de bois éclairent toute la nuit.(French). Many pieces of firewood light the whole night. (English). […]
Moea uecha heavy hayen. (Dinka) Rafiki ni yule amaye mnaendanisha naye njia pamoja. (Swahili) Un ami est quelqu ún avec qui vous partagez le chemin ensemble. (French) […]
Muthenya ndurumagwo utari uratuka. (Gikuyu) Siku hailaniwi kabla ya kikomo chake. (Swahili) On ne condamne pas le jour avant qu’il prenne sa fin. (French) The day […]
Amidan do: min kpinpon nyowu min didu. (Fon) Nyoka wa kijani, alisema, “kuangalia mtu ni bora kuliko kumuuma.” (Swahili) Le serpent vert dit,“regarder un homme, vaut […]
Nh’onga mbele igang’waga minze milu (matengeku). (Sukuma) Anayetangulia mbele hunywa maji safi. (Swahili) Celui qui arrive le premier (les troupeaux) boit de l’eau propre et claire. […]
Imenyagwo irari iria yakwua. (Gikuyu) Watu wanatambua kwamba ng’ombe iliwapatia maziwa mengi baada ya kufa.(Swahili) Les gens réalisent simplement qu’une vache ne nous a donné beaucoup […]
Nswa go/gwa gema iwe. (Sukuma) Mchwa ulijaribu jiwe. (Swahili) La fourmi a essayé/fait un effort pour manger le rocher (pierre). (French) The ant tried/made an effort […]