| Erruesh olenkaina enaimurruai. (Maasai) Ndovu anaweza angushwa na mumea anayetambaa. (Swahili). L'éléphant peut être déclenché par plante rampante. (French) The elephant can be tripped by a creeping plant. (English) |
Gutiri mburi itangiracio tiga inawathe. (Gikuyu) Mbuzi yeyote hukubalika kama mahari, lakini asiwe na dosari. (Swahili) Toute chèvre peut servir de dot, à moins qu’elle ne présente un défaut. (French) Any goat can serve as bridewealth unless it has a defect. (English) |
Gikuyu (Kenya) Proverb
E mukazi Buli Buaare. Tembo) Mwanamke ni utajiri. (Swahili) Femme est une richesse. (French) A wife is the wealth. (English) |
Tembo (Democratic Republic of the Congo – DRC) Proverb
Ainyoo pee iton enaa enkitok nayamishe? (Maasai) Kwa nini unakaa kama mwanamke ambaye mwanaye ameoa karibuni? (Swahili) Pourquoi vous comportez-vous comme une femme dont le fils vient d'épouser? (French) Why do you behave like a woman whose son has just gotten married? (English) |
Etre ve no tsi dzi megbea nui ka wonoe wo o. (Ewe ) Vibuyu viwili juu ya maji lazima zitaguzana. (Swahili) Deux calebasses sur l’eau se toucheront de toutes les façons. (French) Two calabashes floating in a basin of water will touch each other, but not damage each other. (English) |
Nzubu iku kuimatenke kuende vu. (Lwalu) |
Lwalu (Democratic Republic of the Congo – DRC) Proverb
Mucii ni wa muthuri na mutumia. (Gikuyu) Nyumba ni ya mume na mke. (Swahili) La maison est pour mari et la femme (French) Home is for a husband and a wife. (English) |
Gikuyu (Kenya) Proverb
| Omokungu omwegenu nogoseseni ase omosa cha oye. (Gusii). Mke mwema ni taji kwa mumewe. (Swahili). Une bonne femme est un diademe ou une couronne a son mari (epoux). (French). A faithful woman is a crown to her husband. (English). |
Gusii (Kenya) Proverb