Mughenyi ni kukaahu ni njeu. (Nyaturu) Mgeni ni kuku mweupe. (Swahili) L’étranger, c’est une poule blanche. (French) The stranger is a white chicken. (English) |
Nyaturu (Tanzania) Proverb
Baaya munga si bataaya muati. (Tembo) Mara nyingi huona mkwe vibaya si binti. (Swahili) Souvent celui qui voit le beau-fils mal n’est pas la fille. (French) The person who sees the in-laws to be bad is not the engaged woman. (English) |
Tembo (DRC) Proverb
Mayo wa myao nawe mmayoho. (Digo) Mamako mwenzio ni mamako pia. (Swahili) La mere de ton ami est ta mere aussi. (French) Your friend’s mother is your mother too. (English) |
Digo (Mijikenda) Kenya Proverb
Akavia kakhuanyisivyanga mumasika. (Nyala) Mazishi hutoa nafasi ya Upatanisho. (Kiswahili) Le deuil est une occasion de réconciliation. (French) A funeral offers the opportunity for reconciliation. (English) |
Nyala (Kenya) Proverb
Musili nokage mungobi nokage muloli wa moso. (Holoholo) Mpiga ngoma na mwimbaji ndo wanafaida ila musikilizaji hana faida. (Swahili) Le tambourin et le chanteur sont les plus importants et non ceux qui suivent la musique. (French) A drummer and a singer are the beneficiary not the listener. (English) |
Kekur lala olgejep. (Samburu) Watu wa jamii moja hawafichani mambo na hujadiliana juu ya lolote. (Swahili) Les membres de meme famille sont ouvert, l’un a l’autre et peuvent discuter n’importe quoi. (French) Members of the same family are open to each other and can discuss anything. (English) |
Samburu (Kenya) Proverb
Tetela: Diwala eko kalasa le wadi l’umi (Tetela) |
Tetela (Democratic Republic of Congo) Proverb
Botbeupeukbo be teunyen ban a boromevo’o (Eton) Mambo makubwa inabadilishwa na wazee (Swahili) Major problems have solution with the old men (English) Les grands problèmes trouvent solution avec les vieux (French) |
Eton (Cameroon, Equatorial Guinea, Gabon and São Tome) Proverb
Giriama : Mjeni loka mwenyeji apone English: It is obvious when you receive a visitor and you cook for him or her you will eat too Swahili :Ni kawaida ukipata mgeni na umpikie,nawe pia utakula. French: Ilest indubitable que le visiteurrégalebien le visité. |
Giriama (Kenya) Proverb