Egabire tebura kikama. (Runyankore) Ng’ombe yenye maziwa haikosi mtu wa kuikamua. (Swahili) La vache qui a du lait ne manquera pas quelqu’un pour la traire. (French) The cow that has milk will never lack someone milking it. (English) |
Runyankore (Uganda) Proverb
Chumba chidide chinaidima kuphenya atu mirongo kumi. (Duruma) Duruma (Kenya) Proverb “Chirondoni” “Tseka” (Duruma) “Kitendawili.” “Tega.” (Swahili) “Je ai une énigme." " Laissez-le venir." (French) “I have a riddle.” “Let it come.” Duruma (Kenya) Riddle |
Atika mutosi ndaaluhega mwana. (Bangubangu) Mzazi arekebishaye mtoto wake makosa kwa kiboko, hajakosea. (Swahili) Le bâton d’un parent qui corrige son enfant ne lui fait du mal. (French) The parent who corrects his or her child with a rod does not sin. (English) |
Bangubangu (Democratic Republic of the Congo -- DRC) Proverb
Ariye na dada kakosa mlamu. (Chonyi) Aliye na dada ana mkwe pia. (Swahili) Celui qui a une sœur, a aussi un beau frère. (French) He who has a sister has a brother-in-law. (English) |
Chonyi (Kenya) Proverb
Yaya, e’eri tiyana kwana marara, na twani tiyana kobuga eta’ageti chimba. (Gusii) Fahari haiwezi kunguruma akilala wala jogoo hawezi kuwika bila kupiga mabawa yake. (Swahili) La vache beugle jarnais quand elle dort, ni le coq ne chante sans bouger ses ailes. (French) No, the bull will never bellow when it sleeps; neither will the cockerel ever crow without clapping its wings. (English) |
Gusii (Kenya) Proverb
Botolome ya bokokota baiso ko ndaengo. (Kele) Mwanaume mwenye tamaa jicho lake huwa katika sufuria. (Swahili) Un glouton a toujours l’œil dans la casserole de sa femme. (French) A greedy man always has his eye on his wife’s pot. (English) |
Kele (Democratic Republic of Congo) Proverb
Embwa tekumoka ekaruma. (Chiga) Mbwa hawezi kupiga kelele na kuuma wakati mmoja. (Swahili) Un chien ne peut pas aboyer et mordre dans le même temps. (French) A dog cannot bark and bite at the same time. (English) |
Chiga (Rwanda and Uganda) Proverb
Emuana uritanga, encano, w’arisa mu yakusianga mo’i kimua. (Nyanga) Mtoto anakula kwa wazazi wake hata kama alimwaga unga. (Swahili) L’enfant mange chez se parents meme s’il a verse la farine. (French) A child eats at his/her parents even if he/she has poured out the flour. (English) |
Nyanga (Northern Kivu Province Walikale Territory, DRC) Proverb
Emam itwaan emamakar epei. (Turkana) Hakuna mtu anaweza kuishi pekee yake kama kisiwa. (Swahili) Personne peut vivre seule comme ile. (French) No person is an island. (English) |
Turkana (Kenya) Proverb