B’uli hiwe b’ugimbiligwa. (Sukuma) Ulioko kwenye jiwe huimbiwa (msagaji hujifariji kwa kuimba). (Swahili) La broyeuse de sorgho chante pour se consoler. (French) The grinder of sorghum […]
Ogwigumha idi gugwa aliyo ili guja bhutongi. (Sukuma) Kujikwaa si kuanguka bali ni kwenda mbele. (Swahili) Trébucher n’est;est pas tombé mais allé de alle de l’avant. […]
Numbu ya wiza idapunzagwa. (Sukuma) Kiazi kizuri hakimenywi. (Swahili) Une bonne patate douce n’est jamais épluchée. (French) A nice potato is never peeled. (English) Sukuma […]
Thakame ne nditho gukera maii (Gikuyu), Damu ni nzito kuliko maji (Swahili). Le sang est plus épais que l’eau (French). Blood is thicker than water (English). […]
Ugendalage uludodi, ulukafu luladenyeka. (Bena) Tembelea mti mbichi, mkavu utavunjika. (Swahili) Marcher sur un arbre frais, un arbre sec se cassera. (French) Walk on a fresh […]
Unkono ugumo gudalelea ng’wana. (Sukuma) Mkono mmoja haulei mtoto. (Swahili) Une seule main, n’eleve pas l’enfant. French) One hand does not raise a child. (English) […]
Omwana owa eshariro aria de enyenyi. (Suba) Mtoto wa mwewe halagi mboga. (Swahili) Un bébé buse (eyas) ne mange pas de légumes. (French) A baby hawk […]
Ng’hwi ninghi jigangaluchaga. (Sukuma). Kuni nyingi hukesha. (Swahili). De nombreux morceaux de bois éclairent toute la nuit.(French). Many pieces of firewood light the whole night. (English). […]