Mbele ilinaoko utipoma/utipama ishike. (Sukuma) Ukiwa na wa kukuongoza huwezi kujikwaa. (Swahili) Si quelqu’un te guide, tu ne peux pas te perdre. (French) If you […]
Fujaga ndimu, utize’ fuja nhola. (Sukuma) Kosea kulenga mnyama mawindoni, usikosee kuoa. (Swahili) Manquer une cible lors de la chasse, plutôt que d’épouser la mauvaise femme. […]
Ilelo ni lelo uyo agayombaga ntondo ali nongo. (Sukuma) Leo ni leo asemaye kesho ni muongo. (Swahili) Aujourd’hui, c’est aujourd’hui celui qui parle de demain est […]
Ng’wanangwa itashilaga. (Sukuma) Kujifunza hakuna mwisho. (Swahili) Il n’y a pas de fin à l’apprentissage (French) Learning has no end. (English) Sukuma( Tanzania,) […]
B’uli hiwe b’ugimbiligwa. (Sukuma) Ulioko kwenye jiwe huimbiwa (msagaji hujifariji kwa kuimba). (Swahili) La broyeuse de sorgho chante pour se consoler. (French) The grinder of sorghum […]
Ogwigumha idi gugwa aliyo ili guja bhutongi. (Sukuma) Kujikwaa si kuanguka bali ni kwenda mbele. (Swahili) Trébucher n’est;est pas tombé mais allé de alle de l’avant. […]
Numbu ya wiza idapunzagwa. (Sukuma) Kiazi kizuri hakimenywi. (Swahili) Une bonne patate douce n’est jamais épluchée. (French) A nice potato is never peeled. (English) Sukuma […]
Unkono ugumo gudalelea ng’wana. (Sukuma) Mkono mmoja haulei mtoto. (Swahili) Une seule main, n’eleve pas l’enfant. French) One hand does not raise a child. (English) […]