Fujaga ndimu, utize’ fuja nhola. (Sukuma) Kosea kulenga mnyama mawindoni, usikosee kuoa. (Swahili) Manquer une cible lors de la chasse, plutôt que d’épouser la mauvaise femme. […]
Chito ne mwoun biik alak ku mokoi kumwaitin eng biich. (Tugen) Anayesengenya wengine kwako, atakusengenya wewe kwa wengine. (Swahili) Celui qui te dit des autres dira […]
Imbwa ndavila pasi ye nyidzi. (Bena) Mbwa anayeangalia chini ndiye mwizi. (Swahili) Un chien qui baisse les yeux, est un voleur. (French) A dog that looks […]
Munywe gumo gogukaleke giyase giyagwana mase. (Holoholo) Wakati kidole kimoja kinakatwa, vidole vyote vitakuwa na damu. (Swahili) Lorsqu’un seul doigt est blessé, les autres seront salis […]
Ilelo ni lelo uyo agayombaga ntondo ali nongo. (Sukuma) Leo ni leo asemaye kesho ni muongo. (Swahili) Aujourd’hui, c’est aujourd’hui celui qui parle de demain est […]
Buya kwa muci palampe pabwipi ke nsala. (Luba Katanga) Mti huonekana mzuri ukiwa mbali, lakini ukiuona karibu hubeba matawi mengi. (Swahili) Vue de loin, l’arbre est […]
Ng’wanangwa itashilaga. (Sukuma) Kujifunza hakuna mwisho. (Swahili) Il n’y a pas de fin à l’apprentissage (French) Learning has no end. (English) Sukuma( Tanzania,) […]
Abange nabaya bakaria kiane inkaigwa bobe. (Gusii) Ni vema kuwa wengi, ila ninaposhiriki nao chakula changu, najihisi vibaya. (Swahili) C’est bon d’être nombreux, mais quand je […]
B’uli hiwe b’ugimbiligwa. (Sukuma) Ulioko kwenye jiwe huimbiwa (msagaji hujifariji kwa kuimba). (Swahili) La broyeuse de sorgho chante pour se consoler. (French) The grinder of sorghum […]