February 2012Beauty Mboka ezangaka mwasi kitoko te. (Lingala) Kijiji hakikosi kamwe msichana mrembo. (Swahili) Il ne manque jamais une belle fille dans un village. (French) A […]
Ca ygwa opi ro ongona tiza ondro kandra kozi ka’do te owo’. (Moru).Mwana wa chifu anatakiwa kuokota kuni wakati mustakabali wake utakapomwangamiza. (Swahili)The chief’s son has […]
Zakoma-zakoma, pusi adagwa (anagwa) chagada (cagada). (Nyanja, Chewa) Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. (Figurative Swahili) Greed led the monkey to fall on its back. (Literal […]
Jojutupii ngakumanya mwini nzala. (Matengo)Aliyekwisha kushiba hamjui mwenye njaa. (Swahili)The person who has eaten and satisfied himself or herself does not care for the one who […]
Mila mata, pewiyomboka mtandu wa libihi. (Ngoni)Umeze mate unapovuka juu ya daraja la gogo moja. (Literal Swahili)Penye kikwazo piga moyo konde. (Figurative Swahili)Swallow saliva before you […]
Abayita ababiri bajjukanya (=bejjukanya). (Ganda)Waendao pamoja hugutushana. (Literal Swahili Translation)Umoja ni nguvu. (Figurative Swahili Translation)Those who walk together warn each other. (Literal English Translation)Unity is strength. […]