![]() | Yaya, e’eri tiyana kwana marara, na twani tiyana kobuga eta’ageti chimba. (Gusii) Fahari haiwezi kunguruma akilala wala jogoo hawezi kuwika bila kupiga mabawa yake. (Swahili) La vache beugle jarnais quand elle dort, ni le coq ne chante sans bouger ses ailes. (French) No, the bull will never bellow when it sleeps; neither will the cockerel ever crow without clapping its wings. (English) |
Gusii (Kenya) Proverb
![]() | Botolome ya bokokota baiso ko ndaengo. (Kele) Mwanaume mwenye tamaa jicho lake huwa katika sufuria. (Swahili) Un glouton a toujours l’œil dans la casserole de sa femme. (French) A greedy man always has his eye on his wife’s pot. (English) |
Kele (Democratic Republic of Congo) Proverb
![]() | Embwa tekumoka ekaruma. (Chiga) Mbwa hawezi kupiga kelele na kuuma wakati mmoja. (Swahili) Un chien ne peut pas aboyer et mordre dans le même temps. (French) A dog cannot bark and bite at the same time. (English) |
Chiga (Rwanda and Uganda) Proverb
![]() | Emuana uritanga, encano, w’arisa mu yakusianga mo’i kimua. (Nyanga) Mtoto anakula kwa wazazi wake hata kama alimwaga unga. (Swahili) L’enfant mange chez se parents meme s’il a verse la farine. (French) A child eats at his/her parents even if he/she has poured out the flour. (English) |
Nyanga (Northern Kivu Province Walikale Territory, DRC) Proverb
![]() | Emam itwaan emamakar epei. (Turkana) Hakuna mtu anaweza kuishi pekee yake kama kisiwa. (Swahili) Personne peut vivre seule comme ile. (French) No person is an island. (English) |
Turkana (Kenya) Proverb
![]() | Mughenyi ni kukaahu ni njeu. (Nyaturu) Mgeni ni kuku mweupe. (Swahili) L’étranger, c’est une poule blanche. (French) The stranger is a white chicken. (English) |
Nyaturu (Tanzania) Proverb
![]() | Baaya munga si bataaya muati. (Tembo) Mara nyingi huona mkwe vibaya si binti. (Swahili) Souvent celui qui voit le beau-fils mal n’est pas la fille. (French) The person who sees the in-laws to be bad is not the engaged woman. (English) |
Tembo (DRC) Proverb
![]() | Mayo wa myao nawe mmayoho. (Digo) Mamako mwenzio ni mamako pia. (Swahili) La mere de ton ami est ta mere aussi. (French) Your friend’s mother is your mother too. (English) |
Digo (Mijikenda) Kenya Proverb
![]() | Akavia kakhuanyisivyanga mumasika. (Nyala) Mazishi hutoa nafasi ya Upatanisho. (Kiswahili) Le deuil est une occasion de réconciliation. (French) A funeral offers the opportunity for reconciliation. (English) |
Nyala (Kenya) Proverb
African Proverbs, Sayings and Stories is proudly powered by WordPress