![]() | Omuzana ashasibwa ayamugengeire. (Haya) Mtumwa huhurumiwa na tajiri wake. (Swahili) C'est le roi qui pense à son esclave. (French) It is the master (king) who minds about his or her slave. (English) |
Haya (Tanzania) Proverb
![]() | Aheleka atashulize bamwetera okubaga. (Haya) Ukiwekesha kitu bila kufatilia utashutukia kimeharibika. (Swahili) C'est très judicieux de continuer à controller. (French) It is wise to keep checking. (English) |
Haya (Tanzania) Proverb
![]() | Omuti ogwinamile tiguhendwa muyaga. (Haya) Mwanzi hauvunjwi na upepo. (Swahili) Un arbre flexible ne se casse jamais avec le vent. (French) A soft tree is never broken by wind. (English) |
Haya (Tanzania) Proverb
![]() | Akalimi Karungi kalaza empisi aha rwigi. (Haya) Maneno mazuri hutoa nyoka pangoni. (Swahili) Les paroles plaisantes font sortir le serpent du caserne. (French) Sweet words lure the snake out of its cave. (English) |
Haya (Tanzania) Proverb
African Proverbs, Sayings and Stories is proudly powered by WordPress