Ni ng’wa ng’habhi lugakowa luge lo ngi (Sukuma) Hata kwa maskini ulipatikana uzi wa inzi (Swahili) Bien qu'il est matériellement pauvre, on a trouvé un fil de mouche domestique dans sa maison (French). Although he is materially poor, at his house was found a housefly cord (English). |
Sukuma (Tanzania) Proverb
Na mhuli igatumagwa. (Sukuma) Hata tembo hutumwa. (Swahili) Même l’éléphant peut-être envoyé. (French) Even an elephant, that is, an important person, can be sent. (English) |
Sukuma (Tanzania) Proverb
Mhuli idabhunagwa nkondo gwayo (Sukuma). Tembo hazidiwi na mkonga wake (Swahili). L’éléphant ne s’accable pas par sa trompe (French) An elephant is not overwhelmed by its trunk (English). |
Sukuma (Tanzania) Proverb
Bhugota bho mongo ni gushoka. (Sukuma) Dawa ya mto ni kurudi. (Swahili) Leo mèdicament pour une rivière en deluge est de retourner. (French) The medicine for a rising river is to go back. (English) |
Sukuma (Tanzania) Proverb
Njinja atina nyango gumo. (Sukuma) Mwuzaji hana mlango mmoja. (Swahili) Le marchand n'a pas qu'une seule porte. (French) The salesperson (seller or merchant) does not have only one door. (English) |
Sukuma (Tanzania) Proverb
Kusema (Kutema) mbago. (Sukuma) Kuweka alama kwenye miti. (Swahili) Marquer des marques sur l'arbre. (French) To make marks on the trees. (English) |
Sukuma (Tanzania) Proverb/Story
Nduhu wangu wangu. (Sukuma) Hakuna haraka. (Swahili) Pas besoin de courir, prens-le modément. (French) There is no rush. Take it easy. (English) |
Sukuma (Tanzania) Saying
“Kalagu.” “Kize.” “Ng’wiza akajaga ngobo jakwe?”… “Numbu.” (Sukuma) “Kitendawili.” “Tega.” “Mtu mwema huenda (kwa Mungu) na vazi lake”… “Kiazi.” (Swahili) “Je ai une énigme." " Laissez-le venir." “Une bonne personne (va à Dieu) avec ses vêtements….“Pomme de terre”(French) “I have a riddle.” “Let it come.” A good person (goes to God) with his or her clothes?” … “Potato.” |
Sukuma (Tanzania) Riddle
| Magembe abili gatakitaga kwikumya. (Sukuma) Majembe ya watu wawili wanaofanya kazi kwa pamoja katika shamba moja wakati mwingine hayakosi kamwe kugongana. (Swahili) Les houes de deux personnes qui font le meme métier dans la même champ ne manquent pas de s’ecraser. (French) The hoes of two people cultivating together in a field sometimes clash (hit) against each other. (English)
|
Sukuma (Tanzania) Proverb |