Abayita ababiri bajjukanya (=bejjukanya). (Ganda) Waendao pamoja hugutushana. (Literal Swahili Translation) Umoja ni nguvu. (Figurative Swahili Translation) Those who walk together warn each other. (Literal English Translation) Unity is strength. (Figurative English Translation)
|