Maborei kuinet ab teta moitantanyin. (Kalenjin) Pembe ya ng’ombe haiwezi kuua ndama yake. (Swahili) Une corne de vache ne peut pas tuer son veau. (French) A cow’s horn cannot kill its calf. (English) |
Ya basapudi yona bubutule. (Luba--Katanga) Wambea wavunja mawasiliano kati ya familia. (Swahili) Les bobards de gens detruisent les relations familiales. (French) Tall stories destroy the family relationship. (English) |
Luba--Katanga (Democratic Republic of Congo – DRC) Proverb
Omurhabana ye cinamula ezagwire. (Havu) Muvulana ndiye husimamisha nyumba zilizoanguka. (Swahili) C’est le garçon qui relève les maisons détruites (en ruines). (French) It is the boy who lifts up the fallen houses (ruins). (English) |
Havu (Democratic Republic of Congo -- DRC) Proverb
Abaguma bobalwa amatumu. (Mashi) Ndugu wakisikizana vizuri wanashinda adui kila mara. (Swahili ) Les frères qui s’entendent bien ils arrivent toujours à vaincre l’ennemi. (French ) Brothers who get along will always defeat the enemy. (English) |
Mashi (Democratic Republic of Congo -- DRC) Proverb
Omuti ogwinamile tiguhendwa muyaga. (Haya) Mwanzi hauvunjwi na upepo. (Swahili) Un arbre flexible ne se casse jamais avec le vent. (French) A soft tree is never broken by wind. (English) |
Haya (Tanzania) Proverb
“Kalagu.” “Kize.” “Ng’wiza akajaga ngobo jakwe?”… “Numbu.” (Sukuma) “Kitendawili.” “Tega.” “Mtu mwema huenda (kwa Mungu) na vazi lake”… “Kiazi.” (Swahili) “Je ai une énigme." " Laissez-le venir." “Une bonne personne (va à Dieu) avec ses vêtements….“Pomme de terre”(French) “I have a riddle.” “Let it come.” A good person (goes to God) with his or her clothes?” … “Potato.” |
Sukuma (Tanzania) Riddle
Umupini ukulangile umwanakashi kabwelelo (Bemba) Sauti yaliyotolewa na mwanamke kuhusu jembe au shoka ina umuhimu yake. (Swahili) La parole dite par la femme sur la houe ou sur la hache a toujours des impacts. (French) One will always return to an axe or hoe handle that the woman shows them. (English) |
| Erruesh olenkaina enaimurruai. (Maasai) Ndovu anaweza angushwa na mumea anayetambaa. (Swahili). L'éléphant peut être déclenché par plante rampante. (French) The elephant can be tripped by a creeping plant. (English) |