Mfuthu newamanya itu, newaniha wandia utija (Pare) Mjinga akierevuka mwerevu anakuwa mashakani. (Swahili) Quand le sot devient ruser, le malin se suspecte. (French) When the fool gets enlightened, the shrewd get into trouble. (English) |
Pare (Tanzania) Proverb
Ebisero byingi ebikukwata ebyenyanja byaba biri omumizi tibikakuzibira kwibika ekisero ekyawe. (Toro) Nyavu nyingi majini, haziwezi kukuzuia kuzamisha yako. (Kiswahili) Trop de panier de pêche dans l'eau ne peut pas vous empêcher de plonger le vôtre. (French) Too many fishing baskets in the water cannot prevent you from dipping yours. (English) |
Toro (Uganda) Proverb
Na mhuli igatumagwa. (Sukuma) Hata tembo hutumwa. (Swahili) Même l’éléphant peut-être envoyé. (French) Even an elephant, that is, an important person, can be sent. (English) |
Sukuma (Tanzania) Proverb
Omuzana ashasibwa ayamugengeire. (Haya) Mtumwa huhurumiwa na tajiri wake. (Swahili) C'est le roi qui pense à son esclave. (French) It is the master (king) who minds about his or her slave. (English) |
Haya (Tanzania) Proverb
Diisaa tee guibeiyou. (Medumba) Haijalishi babu yako alikuwa mrefu kiasi gani. (Swahili) Peu importe la grandeur de ton grand-père. (French) It doesn't matter how tall your grandfather was. (English) |
Medumba (Cameroon)Proverb
Ciira wa mwega utuo ta wa muuru. (Gikuyu) Kesi juu ya wazuri na wabaya zitilie usawa zinapokatwa. (Swahili) Le cas des justes, doivent être jugé dans la même façon que seul des malices. (French) The case of good persons must be judged in a similar way as that of bad ones. (English) |
Gikuyu (Kenya) Proverb
Mhuli idabhunagwa nkondo gwayo (Sukuma). Tembo hazidiwi na mkonga wake (Swahili). L’éléphant ne s’accable pas par sa trompe (French) An elephant is not overwhelmed by its trunk (English). |
Sukuma (Tanzania) Proverb
Udugu wa mbata umanywa guniani. (Gweno) Undugu wa bata hujilikana wakiwa ndani ya gunia. (Swahili) La fraternité de canards se connait quand ils sont dans le sac. (French) The brotherhood/sisterhood of ducks is known inside the sack. (English) |
Gweno (Tanzania) Proverb
Aghara mwino,tighaira mwino,agharaelino ghaira ilibu. (Soga) Palipo ng’olewa jino hubaki na pengo. (Swahili) La où une dent est extraite, reste un vide. (French) Where a tooth is removed there remains a gap. (English) |
Soga (Uganda) Proverb