“Kalagu.” “Kize.” “Ng’wiza akajaga ngobo jakwe?”… “Numbu.” (Sukuma) “Kitendawili.” “Tega.” “Mtu mwema huenda (kwa Mungu) na vazi lake”… “Kiazi.” (Swahili) “Je ai une énigme." " Laissez-le venir." “Une bonne personne (va à Dieu) avec ses vêtements….“Pomme de terre”(French) “I have a riddle.” “Let it come.” A good person (goes to God) with his or her clothes?” … “Potato.” |
Sukuma (Tanzania) Riddle
Umupini ukulangile umwanakashi kabwelelo (Bemba) Sauti yaliyotolewa na mwanamke kuhusu jembe au shoka ina umuhimu yake. (Swahili) La parole dite par la femme sur la houe ou sur la hache a toujours des impacts. (French) One will always return to an axe or hoe handle that the woman shows them. (English) |
| Erruesh olenkaina enaimurruai. (Maasai) Ndovu anaweza angushwa na mumea anayetambaa. (Swahili). L'éléphant peut être déclenché par plante rampante. (French) The elephant can be tripped by a creeping plant. (English) |