Ilelo ni lelo uyo agayombaga ntondo ali nongo. (Sukuma) Leo ni leo asemaye kesho ni muongo. (Swahili) Aujourd’hui, c’est aujourd’hui celui qui parle de demain est […]
Buya kwa muci palampe pabwipi ke nsala. (Luba Katanga) Mti huonekana mzuri ukiwa mbali, lakini ukiuona karibu hubeba matawi mengi. (Swahili) Vue de loin, l’arbre est […]
Ng’wanangwa itashilaga. (Sukuma) Kujifunza hakuna mwisho. (Swahili) Il n’y a pas de fin à l’apprentissage (French) Learning has no end. (English) Sukuma( Tanzania,) […]
Abange nabaya bakaria kiane inkaigwa bobe. (Gusii) Ni vema kuwa wengi, ila ninaposhiriki nao chakula changu, najihisi vibaya. (Swahili) C’est bon d’être nombreux, mais quand je […]
B’uli hiwe b’ugimbiligwa. (Sukuma) Ulioko kwenye jiwe huimbiwa (msagaji hujifariji kwa kuimba). (Swahili) La broyeuse de sorgho chante pour se consoler. (French) The grinder of sorghum […]
Ogwigumha idi gugwa aliyo ili guja bhutongi. (Sukuma) Kujikwaa si kuanguka bali ni kwenda mbele. (Swahili) Trébucher n’est;est pas tombé mais allé de alle de l’avant. […]
Numbu ya wiza idapunzagwa. (Sukuma) Kiazi kizuri hakimenywi. (Swahili) Une bonne patate douce n’est jamais épluchée. (French) A nice potato is never peeled. (English) Sukuma […]