| Magembe abili gatakitaga kwikumya. (Sukuma) Majembe ya watu wawili wanaofanya kazi kwa pamoja katika shamba moja wakati mwingine hayakosi kamwe kugongana. (Swahili) Les houes de deux personnes qui font le meme métier dans la même champ ne manquent pas de s’ecraser. (French) The hoes of two people cultivating together in a field sometimes clash (hit) against each other. (English)
|
Sukuma (Tanzania) Proverb |
| Waleba mengi komenzi genyanza. (Longo). Maji ya bahari ni kwa ajili ya kutazama. (Swahili). L’eau de la mer, c’est pour regarder. (French). The water of the sea is only to be contemplated.(English).
|
Longo (Tanzania) Proverb
African Proverbs, Sayings and Stories is proudly powered by WordPress