Mayo wa myao nawe mmayoho. (Digo) Mamako mwenzio ni mamako pia. (Swahili) La mere de ton ami est ta mere aussi. (French) Your friend’s mother is your mother too. (English) |
Digo (Mijikenda) Kenya Proverb
Giriama : Mjeni loka mwenyeji apone English: It is obvious when you receive a visitor and you cook for him or her you will eat too Swahili :Ni kawaida ukipata mgeni na umpikie,nawe pia utakula. French: Ilest indubitable que le visiteurrégalebien le visité. |
Giriama (Kenya) Proverb