Ne matenu afudu o la, ekema nanya bebe. ( Ewe) Kama huna mbio lazima njue kujificha. (Swahili) Si tu ne peux pas courir vite, donc tu dois savoir comment se cacher. (French) If you cannot run fast, then you must learn how to hide. (English) |
Ewe (SE Ghana, Southern Togo, Benin and SW Nigeria) Proverb
Bhugota bho mongo ni gushoka. (Sukuma) Dawa ya mto ni kurudi. (Swahili) Leo mèdicament pour une rivière en deluge est de retourner. (French) The medicine for a rising river is to go back. (English) |
Sukuma (Tanzania) Proverb
Weske uruon bo ket. (Kipsigis) Yale maovu unayomtendea mwenzako baadaye huenda ukafanyiwa vile vile. (Swahili) Le mal que vous avez fait pour d’autres seront. (French) The bad things you do to others may later be done to you too. (English) |
Kipsigis (Kenya) Proverb
Kamwa kashenmga tama. (Joba) Ulimi waweza leta shida kubwa kwa shavu. (Swahili) La langue peut causer beaucoup de problemes aux joues. (French) The tongue can bring big problems to the cheek. (English) |
Joba(Democratic Republic of the Congo and Tanzania) Proverb
Bushokabwa membe ku mazi. (Kabwari) Uzuri wa mwanamke (mke) ni kufuraisha mumewe na kile anachokifanya kwa watu wa jammi yake. (Swahili) La beaute d’une femme est de plaire son mari et de tout ce qu’elle fait aux gens de sa communaute. (French) The beauty of a woman is to please her husband and what she does for the people of her community. (English) |
Kabwari (Democratic Republic of the Congo) Proverb
Njinja atina nyango gumo. (Sukuma) Mwuzaji hana mlango mmoja. (Swahili) Le marchand n'a pas qu'une seule porte. (French) The salesperson (seller or merchant) does not have only one door. (English) |
Sukuma (Tanzania) Proverb
Mlonda yenge eshima mbele ya makolo. (Hemba) Mtu tajiri hawezi kuheshimu maskini. (Swahili) Une personne riche ne peut pas respecter les pauvres. (French) A rich person can’t respect poor ones. (English) |
Amadete kabiri keta enda. (Saamia) Vidole viwili huuwa chawa. (Kiswahili) Deux doigts peuvent tuer le pou. (French) Two fingers killed a louse. (English) |